TEHRAN (IQNA)- Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon amemtumia ujumbe Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei ambapo amempongeza kwa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474913 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/10